MBINU ZA KUZITUMIA KUCHAGUA JINSIA YA MTOTO UNAYETAKA KUMZAA
Mzunguko wa Hedhi:
Mzunguko wa kawaida wa hedhi kwa wanawake walio wengi ni siku 28. Baadhi ni siku 30, 32, 35.
Hii ina maana gani? Kila baada ya siku 28 mwanamke huyu mwenye mzunguko wake wa hedhi siku 28 ataingia kwenye siku zake. Siku hizi hudumu kwa siku 3 hadi 5 na wengine huenda hadi siku 7.
Na kila siku ya 14 tangu aanze siku zake, yai la kike hutotewa ili kukutana na mbegu ya kiume ili kupata ujauzito, ( yaani kama atakutana na mwenzi wake kwa kipindi cha karibuni ).
Ufuatao hapo chini ni Mpangilio wa Mzunguko wa Hedhi kwa Mwanamke Anayeingia Hedhi kila Baada ya Siku 28.
1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, 11, 12, 13, 14 15, 16, 17, 18, 19, 20, 21, 22, 23, 24, 25, 26, 27, 28
√ Siku 1 hadi 7 ni zile siku ambazo mwanamke wa kawaida anaingia blidi.
√ Siku 8 hadi 10 ni siku salama hakuna ujauzito.
√ Siku ya 11 hadi siku ya 17 ni siku za hatari. Kuna uwezekano wa kupata ujauzito siku hizi.
√ Siku ya 14 tangu mwanamke aanze kublidi ndiyo siku ambayo yai la like hutolewa kutoka kwenye kokwa ya kizazi ( ovari ) kwenda kwenye mji wa mimba ili ikutane na mbegu ya kiume ziungane pamoja kufanya ujauzito.
√ Siku ya 18 hadi siku ya 27 ni siku salama ambazo mimba haiwezi kutokea, ni siku ambazo mji wa mimba ulioharibiwa na blidi hujijenga upya kwa ajili ya maandalizi ya blidi nyingine.
Zifuatazo ni mbinu ambazo ukizifuata zitakusaidia kupata mtoto wa jinsia unayoitaka.
1. Kujamiiana siku ya 12, 13 na ya 14, ( karibu kuelekea siku ambapo yai la kike linapotolewa kutoka kwenye kokwa ya kike ) utapata MTOTO WA KIUME. Kujamiiana siku ya 11 (mbali kuelekea siku ambapo yai la kike linapotolewa kutoka kwenye kokwa ya kike) utapata MTOTO WA KIKE.
Sababu ni kuwa mbegu ya kiume kwa ajili ya mtoto wa kike (vinasaba X), haina mwendokasi lakini ni imara (si rahisi kufa), wakati mbegu ya kiume kwa ajili ya mtoto wa kiume (vinasaba Y) ina spidi kali lakini sio imara"" (rahisi kufa).
Hivyo kujamiiana siku ya 12, 13, 14, ( karibu kuelekea siku ambapo yai la kike hutolewa yaanu siku ya 14 ) kunaipa nafasi mbegu ya kiume yenye kinasaba cha jinsia ya kiume kuwahi kulifikia yai la kike punde linapotolewa na kokwa za kike, na kufanyika ujauzito wa mtoto wakiume.
2. Mwanamke anatakiwa kuyaandaa mazingira ya uke wake, yawe rafiki kwa ajili ya mtoto wa jinsia ya kike au ya kiume.
Mwanamke kusafisha uke wake kwa kutumia maji na siki (vinegar) kuyaandaa mazingira ya uke hali ya "tindikali" ambayo ni mazingira rafiki kwa mbegu za kiume kwa ajili ya mtoto we kike. Mwanamke kujisafisha uke wake kwa kutumia maji na hamira kuyaandaa mazingira ya uke hali ya "" nyongo"" ambayo ni mazingira rafiki kwa mbegu ya kiume kwa ajili ya mtoto wa kiume.
3. Mikao wakati wa kujamiiana. Kwa mfano, wakati wa kujamiiana mwanamke anashauriwa kulalia mgongo, ni mkao unaoshauriwa kwa ajili ya kupata mtoto wa jinsia ya kike.
Mkao wa kuinama unashauriwa kwa ajili ya kupata mtoto wa jinsia ya kiume.
4. Lishe. Kwa akina mama wanaotaka kupata ujauzito wa mtoto wa kike wanashauriwa kula vyakula vinavyojenga mwili ( protini ) na wahakikishe wasitumie chumvi kwenye vyakula vyao.
Uchunguzi unaonesha kuwa akina mama wanaokula sana vyakula vya jamii ya nafaka wana uwezekano 59% kupata ujauzito wa mtoto wakiume, na 41% kupata mtoto wa kike.

Maoni
Chapisha Maoni